in

Tomorrow Maria Update: William Tries To Eliminate Vicky But He Finds It Difficult.

William Tries To Eliminate Vicky

#Part_1

Luwi na Vanessa watamkuta William. Luwi ataanza kudai baada tu ya William kujuzwa kuwa Sandra is making a move, upande mwingine Godson wa Daniel anakufa. Na huyu si mtu wa kawaida hivi…ni intelligent officer aliyepewa instructions kumtafuta Sandra. William atauliza Luwi point yake ni gani?

Luwi atadai anaona hii ni plan ya William, au William na Sandra wame collaborate na kuua huyu mtu. William atauliza Luwi kama ana Suggest babake ni muuaji. Luwi atauliza ni move gani Sandra ali take? William atadai yeye amechoka na kina Luwi sasa. Yeye ni baba yao… the other day mama yao alimeza madawa kupita kiasi…karibu afe alafu Luwi na Vanessa wakadai ni kwa sababu ya William….sasa sahi wanakuja kudai aliua mtu? Vanessa atamwambia hajawapa majibu yao.

Luwi atamuuliza move gani Sandra alikuwa anatake? William atawaambia wanajua number ya Sandra so wampigie wasikie kutoka kwake. William atajitoa hapo.Daniel naye amecheza kimwanaume hadi Rufina amekubali kuja kwake. Daniel atamkaribisha akimwita Malika wake 😂

😊 Rufina akienda kuingia kwa nyumba Silas atakuwa amejishika kiuno akimwangalia kwa mshangao.

Maybe anajiuliza kama huyu ndiye mtu alidai haendi kwa mababi 😂😂😂 Daniel atamkaribisha ndani naye Silas awafwate nyuma.Upande mwingine William anashtuliwa na Meja. Meja ataambia William hafai kulala kama waja accomplish mission yao. Meja ataambia William amuongeleshe.

William atamwambia watoto wake wanajua Sandra made a move na wanadhani anahusika na kifo cha yule CIU guy. Meja atamuuliza so? William atadai hawampei amani. Meja atadai kazi ilifanyika ki professional na hakuna mtu anaweza pin hiyo kifo kwa William. Meja atauliza William kama kuna kitu kingine.

William atamuuliza kuhusu Sandra watafanya aje. Meja atamwambia atulie watafika hapo. William atauliza meja ni nini ako nayo kwa mind.

William Tries To Eliminate Vicky
William Tries To Eliminate Vicky

Meja atatoa bunduki then ataje Vicky. Meja atadai Vicky anajua kila kitu kumuhusu William and if hasingekuwa anajua, hangemeza madawa. William ataomba Meja akimwambia heri amwitishe kitu kingine lakini awachane na wife yake. Meja atadai William aliomba msaada wake na Meja akafikisha msaada.

Wether William takes it or not is up to him(William), but Vicky has to be silenced.Gloria akiwa anakunywa maji Sonia atamkuta hapo na kumuuliza anaduu nini hapo na aliwakataza kuingia kwa nyumba yake. Gloria ataomba msamaha na amuite auntie Sonia. Sonia atajam amuulize kama yeye anaweza kuwa auntie wa kitu sura mbaya kama Gloria.

Lorna atakuja aulize shida ni gani. Sonia atamuuliza alisema nini kuhusu Lorna kumleta huyo mtoto wake mchafu kwake? Lorna ataomba msamaha akisema haitawai tendeka tena. Sonia atateta then aseme juu Gloria alitaka maji basi apatiwe. Sonia ataanza kupea Gloria maji kutumia jug. Lorna atamtetea then Sonia awafukuze na kuwaambia wakae kwa servants quarters…

#Part 2

Lorna atakuwa akilalamika akidai this is so unfair. Ataambia Gloria atulie mateso yataisha tu. Sonia atafika aulize Lorna anajiuliza maswali kwa nini? Lorna atamwambia anataka kujua tu mbona yeye hufanyia mtoto wake ivyo? Gloria is just a child. Sonia atawafukuza hapo.

Vicky atameza madawa zake then arudi kulala. William atapenya kuingia kwa room. Atakumbuka maneno ya meja then ajaribu kumuua Vicky lakini ataona ni vigumu juu anampenda.

Atatupa pillow kando then aanze kulia.Asubuhi itakayofwata kwa Daniel kutakuwa kumeandaliwa breakfast. Rufina hataki kukaka karibu na Daniel. Daniel atawakaribisha na awape reason to why wako pale.

William Tries To Eliminate Vicky
William Tries To Eliminate Vicky

Pia atawaambia wanafaa kuwa na umoja na wasiwe na wasiwasi coz security iko tight. Daniel atadai mmoja wao aombe. Leo ni Fally anaomba 😂 after maombi Daniel atadai iyo maombi ilikuwa powerful… atadai waendelee na breakfast yao.Vanessa na Luwi wataenda kumwona mama yao. Anatumia madawa ya kulala ndo apate usingizi sana.

Vanessa atadai maybe secret mama yao anaficha ndo inamkalia hivyo. Hali yake inazidi kuwa mbaya. Luwi atadai the only person anaweza wasaidia ni Victor. Luwi anajaribu kujiweka kwa kiatu cha Vicky…ana imagine kitu anapitia…haileti shangwe.

Vanessa ataomba mamayao apone haraka.Victor na bibi yake wakijibamba Vanessa atamkol akimwambia kuhusu hali ya mamake. Lakini Victor hajali. Vanessa atamwomba afanye kitu kwa sababu ya mamake.

Victor atamuuliza kama kwake ni hospitali… Victor ataambia Vanessa ye hakumbuki aki graduate from any meds school…na yeye si daktari… unless Vanessa anataka doctor love. Lakini akitaka daktari wa hospitali aende online atawapata huko.

Written by miniBloggersKe

NairobiminiBloggers Believes in philanthropists, and we have a Keen interest in Political, Leadership, and Governance. We will tell you what they don't want you to know.

What do you think?

ODM leader Raila Odinga

Raila Odinga Spills Beans On Details Of Letter Dori Wrote Him Before His Death.

Victor Humiliates Vanessa Badly.

Monday at Maria Citizen Series: Victor Humiliates Vanessa Badly.