Nikitu Gani Mwalimu Wako Wa High School Ashai Kuambia Ujai Recover Adi Leo? Read Funny Replies 😂

Nikitu Gani Mwalimu Wako Wa High School Ashai Kuambia Ujai Recover Adi Leo?

Nikitu gani mwalimu wako wa high school ashai kuambia ujai recover adi leo?😂😂😂😂😂.

Some of the Funny replies Kenyans Replies:-

@PhyllatrixxK Aty nikona kichwa kubwa na naogopa kufikiria

Born Stoner“Kijana kazi ni kuchafua choo vile unachafua meanscore ya hesabu”

Collins Mogaka Aliwai niambia mimi shida niko nazo ziko rooted to ancestral grounds. I needed the intervention of archangels…..malaika na maserubi.

Kichwa yangu imejaa uji tupu 😂😂😂😂 nilimwachia mungu.

kiPKEMoi Nikiwa form one nilipata 80% exam ya kwanza,next exam I had 40… Wakati wa academic day akaniambia na hiyo trend yangu ati anaona nikipata 0%, from 80, to 40, from 40 to now zero… Mi hata niliacha hiyo geography yake

Nikitu Gani Mwalimu Wako Wa High School Ashai Kuambia Ujai Recover Adi Leo?
A math teacher instructs her class inside the corrugated tin classroom. (Photo by Wendy Stone/Corbis via Getty Images)

Tcher wa maths alkua anatusomesha preps usiku so akaanza storie n kukosa point moja ya kujoin campus,, me and my friends tukamwambia ashindwe,,, akasema tungoje results walai the three of us tunamtafutanga adi wa leo

Let Us Know what your Teacher Told you and Until now you have never Recovered from.

Written by miniBloggersKe

NairobiminiBloggers Believes in philanthropists, and we have a Keen interest in Political, Leadership, and Governance. We will tell you what they don't want you to know.

What do you think?

CJ Maraga

10 Points Why CJ Maraga Will Go Down As The Worst Chief Justice Of Kenya.

About Hon. Moses Kuria

10 Lesser Known Facts About Hon. Moses Kuria