Nikitu Gani Mwalimu Wako Wa High School Ashai Kuambia Ujai Recover Adi Leo? Read Funny Replies 😂

Nikitu Gani Mwalimu Wako Wa High School Ashai Kuambia Ujai Recover Adi Leo?

TweetShareSharePin99 Shares Nikitu gani mwalimu wako wa high school ashai kuambia ujai recover adi leo?😂😂😂😂😂. Some of the Funny replies Kenyans Replies:- @PhyllatrixxK Aty nikona kichwa kubwa na naogopa kufikiria Born Stoner“Kijana kazi ni kuchafua choo vile unachafua meanscore ya hesabu” Collins Mogaka Aliwai niambia mimi shida niko nazo ziko rooted to ancestral grounds. I needed the intervention of archangels…..malaika na maserubi. Kichwa yangu imejaa uji tupu 😂😂😂😂 nilimwachia mungu. kiPKEMoi Nikiwa form one nilipata 80% exam ya kwanza,next exam I had 40… Wakati wa academic day akaniambia na hiyo…

... Read Full Article